Semu Vincent : Kutokupumzika kikazi inaleta stress

“Afya ya akili kazini”: hii ndiyo mada ya Siku ya Afya ya Akili Duniani mwaka huu, iliyoadhimishwa tarehe kumi Oktoba. Mwanasaikolojia Semu Vincent anatutahadharisha kuhusu tabia mbaya zinazoweza kudhuru ustawi wa kiakili mahali pa kazi. Anaalika kuchukuliwa kwa hatua kwa ajili ya mazingira bora ya kazi, ambapo mabossi na wafanyakazi, wananya kazi pamoja ili kukuza utamaduni chanya. Alipokelewa na Rosalie Zawadi.

Source: Radio Okapi

Related Post