John Singoma : Hatuna vifaa kama vile dawa

Kituo cha afya cha Mwanga kilicho kwa kilomita kumi kutoka Bunia kinakabiliwa na changamoto nyingi. Sehemu kubwa ya raia katika shirika hili inaundwa na watu waliorejea ambao wana matatizo ya kupata matibabu. Vifaa vingine vilikuwa vimeharibiwa au kuchukuliwa na watu wenye silaha. Hii hairuhusu wauguzi kutoa huduma nzuri kwa wagonjwa, wakiwemo wanawake wajawazito. Redio Okapi inampokea John Singoma, muuguzi mkuu wa muundo huu wa afya. Anazungumza na Jean Claude LOKY DILE.

Source: Radio Okapi